Matching Titles
- DHIFA
- Dhifa ni diwani ya mwisho ya Kezilahabi.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- HARUSI
- Vigelegele, vifijo na cherekochereko za kina mama wakiimba mamie mwana so ukaule mgeni kengia ndizo zinazokamilisha kilele cha harusi ya Rahman, mtoto wa Alhaj Mwinyi Karim kwa Shufaa binti wa Mwinyi Sitaki Shari.
- Published : 2017
- Language : Swahili
- LAWALAWA
- Lawalawa anaingia matatani baada ya kutuma barua ya mpenzi wake kwa mumewe kimakosa. Majuto na wasiwasi vinamwandama anapoisubiri hatima yake kutoka kwa mumewe. Je, Kuna matumaini ya ndoa yake changa? Fuatilia mkasa huu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MZINGILE
- Mzingile ni novela (riwaya fupi) ya kifalsafa na kibaadausasa iliyochapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1991. Riwaya hii ni pacha ya ile ya Nagona (1990). Riwaya hii inasawiri chimbuko, maendeleo, maangamizi na kuzaliwa upya kwa dunia kutokana na fujo za wa
- Published : 2023
- Language : Swahili
- NAGONA
- Nagona ni riwaya fupi ya kifalsafa na kibaadausasa inayoibua fikra juu ya falsafa na maana ya uhai, maisha, dhamiri na hata fikra yenyewe. Mhusika kiini wa novela hii anajikuta katika mazingira ya ajabuajabu katika nyakati tofauti tofauti.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MAJI MANDIGA
- Simulizi hii inaakisi uhalisia wa changamoto za maji wanazokutana nazo wanawake hasa wanaoishi vijijini. Iwapo kutakuwa na kufanana kwa jina au tukio la aina yoyote basi haikuwa dhamira ya mtunzi na mwandishi.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- ORODHA
- Steve Reynolds alizaliwa mwaka 1960 nchini Uingereza. Amekuwa mwalimu wa Tamthiliya na Michezo ya kuigiza kwa miaka 21 na ameongoza warsha nyingi pamoja na matamasha mbalimbali katika sehemu nyingi duniani.
- Published : 2022
- Language : Swahili
My Cart