Matching Titles
- DHIFA
- Dhifa ni diwani ya mwisho ya Kezilahabi.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- HARUSI
- Vigelegele, vifijo na cherekochereko za kina mama wakiimba mamie mwana so ukaule mgeni kengia ndizo zinazokamilisha kilele cha harusi ya Rahman, mtoto wa Alhaj Mwinyi Karim kwa Shufaa binti wa Mwinyi Sitaki Shari.
- Published : 2017
- Language : Swahili
- NAGONA
- Nagona ni riwaya fupi ya kifalsafa na kibaadausasa inayoibua fikra juu ya falsafa na maana ya uhai, maisha, dhamiri na hata fikra yenyewe. Mhusika kiini wa novela hii anajikuta katika mazingira ya ajabuajabu katika nyakati tofauti tofauti.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MDUNGUAJI
- Wapiganaji kumi, wakiwemo Watanzania watatu, wanaounda kikosi maalum cha jeshi la Umoja wa Mataifa kilichotumwa kulinda amani nchini Sierra Leone, wanashambuliwa na mdunguaji aliyejificha katika msitu walikokuwamo.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- CHUNGU TAMU
- CHUNGU TAMU ni mashairi yanayouimulika jamii na kuichunguza kwa makini. Mashairi haya ni fasihi changanuzi yanaikosoa jamii yetu na kutoa mapendekezo mwaafaka dhidi ya mapungufu yaliyopo
- Published : 2017
- Language : Swahili
- ORODHA
- Steve Reynolds alizaliwa mwaka 1960 nchini Uingereza. Amekuwa mwalimu wa Tamthiliya na Michezo ya kuigiza kwa miaka 21 na ameongoza warsha nyingi pamoja na matamasha mbalimbali katika sehemu nyingi duniani.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- MORANI
- Tamthiliya ya Morani inasawiri misukosuko ya kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania katika miaka ya 80.
- Published : 2019
- Language : Swahili
My Cart