 
                                            
                        
                            Mwafrika Aimba
                        
                        
                        
                        
                        
                        
                        
                                    Paperback
                                
                            Mwafrika Aimba ni diwani inayosawiri maisha ya mwanadamu. Mshairi ameonesha jinsi maisha yalivyo kwa Mwafrika. Anadokeza dhuluma, manyanyaso, unafiki, usaliti na maovu. Vilevile anawanasihi watu wote kutimiza wajibu wao.
                            
                               Taarifa za kitabu
                            
                            
                            - ISBN : 9789976583809
- Tarehe ya kuchapishwa : June 2023
- Lugha : Swahili
- Idadi ya kurasa : 59
- Aina ya kava : Paperpack
- Toleo : First Edition
Jamii ya kitabu hiki ni
                            
                                Maoni kutoka kwa jamii
                            
                            
                            
                                                            Hakuna maoni , Kuwa wa kwanza kuandika maoni
                                  Na
                                    
                                        Shaaban Robert
                                    
                                
                                    
                                    
                                 
  Manunuzi yangu
                                Manunuzi yangu
                             
                                                             
                                                            