Ufafanuzi Lugalo
Paperback

Starehe na vishawishi vinamteka Diana na kujikuta ameingia kwenye ulimwengu mpya. Pengine hatutarajii kumwona katika ulimwengu wa aina hii kwa vile ni mwanamke aliyeolewa. lakini tayari ameshaingia.

Wilbard Makene

No Biography

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789976583557
  • Tarehe ya kuchapishwa : January 2023
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 125
  • Aina ya kava : Paperpack

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii