Found 293 matching results Viewing 181 - 192 of 293 matches Viewing 181 - 192 of 293 matches
- MWALIMU ROSE
- Ambrose Mghanga amefanikiwa kuichora jamii katika kurasa na kuipa fursa ya kujitazama katika riwaya yake hii.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- NGOMA YA MIANZI
- Mbumi na Chulu wanasimama kidete katika harakati za kuikomboa jamii yao dhidi ya utawala katili wa Wajerumani. Licha ya udogo wa umri wao, vijana hawa wanaleta mabadiliko yasiyomithilika. Visa, mikasa na changamoto zinatawala safari yao. watafanikiwa?
- Published : 2023
- Language : Swahili
- PAMBO
- Pambo ni kitabu kinachotoa mfano kamili wa dhamira mgongano unaowapata baadhi ya vijana wetu. Mwandishi ametumia mfano wa kijana Pambo kueleza tatizo hili kwa namna inayovutia.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- PENDO PEVU
- Matumaini ya wazazi wa kijana Vitto yanazimika ghafla mithili ya kibatari kilichopulizwa na upepo mkali. Haya yanajiri baada ya kijana wao, Vitto, kubadili uamuzi wake kuhusiana na kumuoa binti aliyechaguliwa na wazazi wake.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- UNONO
- Starehe za mjini zinamfanya kijana Unono asahau alikotoka. Unono anakumbatia ugeni hata kufikia hatua ya kuikana familia yake. Wazazi wanamuachia radhi na hatimaye Unono anakutana na yanayomrudisha nyumbani. Je, atapokelewa?
- Published : 2023
- Language : Swahili
- TITI LA MKWE
- Tarehe za mjini zinamfanya kijana Unono asahau alikotoka.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- SANDA YA JAMBAZI
- Somo la fedha fedheha Malik hakulielewa maishani mwake, hivyo analipa gharama ya kufa na kuzikwa mithili ya mbwa.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MIRATHI
- Kifo cha Masanja kinatarajiwa kuwa sherehe kwa mkewe na watu wake wa karibu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- DUNIA HADAA
- Starehe na vishawishi vinamteka Diana na kujikuta ameingia kwenye ulimwengu mpya. Pengine hatutarajii kumwona katika ulimwengu wa aina hii kwa vile ni mwanamke aliyeolewa. lakini tayari ameshaingia.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KAMLETE AKIBISHA MLIPUE!
- No Overview
- Published : 2023
- Language : Swahili
- GUBU LA MUME
- Kwa mume kuna ngodo Mwanahamisi hakuna uhondo. Wala hakuna utamu kuna balagham! Ndivyo alivyoniambia somo yangu Mama Muhidini kabla sijaolewa.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- SOMO KANIPONZA
- No description
- Published : 2023
- Language : Swahili
My Cart