Found 5 books in
Secondary School - Kiswahili
Viewing 1 - 5 of 5
matches
Viewing 1 - 5 of 5
matches
- JIKUMBUSHE KISWAHILI KIDATO CHA 4
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali kutoka mitihani ya taifa toka mwaka 2005 through 2020 na majibu yaliyoandaliwa kwa usahihi, ustadi na ufasaha mkubwa.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE KISWAHILI KIDATO CHA 2
- Kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 570 toka mitihani ya taifa ya kidato cha pili toka mwaka 2005 hadi 2020 na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- WATOTO WA MAMAN’TILIE
- Katika riwaya hii ya Watoto wa Maman’tilie, mwandishi anathibitisha kuwa mama ni mtu wa muhimu sana. Riwaya inasimulia na kushadidia kuwa Maman’tilie ni nguzo na dereva wa familia yake yenye wasafiri watatu:
- Published : 2022
- Language : Swahili
- ORODHA
- Steve Reynolds alizaliwa mwaka 1960 nchini Uingereza. Amekuwa mwalimu wa Tamthiliya na Michezo ya kuigiza kwa miaka 21 na ameongoza warsha nyingi pamoja na matamasha mbalimbali katika sehemu nyingi duniani.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- UMAHIRI KATIKA KISWAHILI KIDATO CHA 1
- Umahiri katika Kiswahili Kidato cha 1 ni kitabu kilichoandaliwa kwa kuzingatia maudhui ya Muhtasari wa 2023 wa somo la Kiswahili kwa Kidato cha Kwanza. Uandaaji wa maudhui ya kitabu hiki umezingatia ujenzi wa umahiri kama inavyopendekezwa katika mtaala wa
- Published : 2024
- Language : English