Found 20 books in
Shule za msingi
Viewing 1 - 12 of 20
matches
Viewing 1 - 12 of 20
matches
- JIKUMBUSHE HISABATI 3 & 4
- Mkusanyiko wa maswali toka mitihani ya taifa ya Darasa la 4 tokea mwaka 1999 hadi 2012 pamoja na njia na majibu yake fasaha.
- Published : 2013
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE ELIMU YA MSINGI 5, 6 & 7
- Mkusanyiko wa maswali toka mitihani ya taifa ya Darasa la 7 tokea mwaka 2000 hadi 2018 pamoja na njia na majibu yake fasaha.
- Published : 2019
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE ELIMU YA MSINGI DARASA 3 & 4
- Kitabu bora kwa mazoezi madhubuti kwaajili ya darasa la tatu na nne.
- Published : 2017
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE LUGHA DARASA LA 5, 6 & 7
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 550 ya Kiswahili na Kiingereza toka mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba tangu mwaka 1999 hadi 2010 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
- Published : 2012
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE LUGHA DARALA LA 3 & 4
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 700 ya masomo ya Kiswahili na Kiingereza toka katika mitihani ya Taifa ya Darasa la nne kati ya mwaka 1999 na 2012 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
- Published : 2013
- Language : English
- KUSOMA KWA VITENDO KITABU CHA 1
- Kitabu hiki kinafundisha somo la Kusoma kwa kuzingatia muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2016.
- Published : 2020
- Language : Swahili
- KUSOMA KWA VITENDO DARASA 2
- Kitabu hiki kinafundisha somo la /Kusoma kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya msingi kwa darasa la 2 wa mwaka 2016
- Published : 2024
- Language : Swahili
- KUANDIKA KWA VITENDO DARASA LA 2
- Kitabu hiki kinafundisha somo la Kuandika kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 2 wa mwaka 2016
- Published : 2024
- Language : Swahili
- KISWAHILI KWA VITENDO KITABU CHA 3
- Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 3 wa mwaka 2016
- Published : 2020
- Language : Swahili
- KISWAHILI KWA VITENDO DARASA LA 4
- Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 4 wa mwaka 2016.
- Published : 2020
- Language : Swahili
- KISWAHILI KWA VITENDO DARASA LA 5
- Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 5 wa mwaka 2016
- Published : 2020
- Language : English
- KISWAHILI KWA VITENDO DARASA LA 7
- Kitabu hiki kinatoa mafunzo ya somo la Kiswahili kwa mujibu wa Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 7 wa mwaka 2019. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumjengea mwanafunzi uwezo wa kuchambua mam
- Published : 2020
- Language : Swahili