
Kitabu hiki kinafundisha somo la Kuandika kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 2 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora. Kitabu kina mazoezi mengi kwa vitendo hivyo hadi kufikia mwisho, mwanafunzi atakuwa mahiri na mwenye uwezo mkubwa wa kuandika kwa usahihi herufi, silabi, maneno, sentensi na habari fupi. Tunaamini kuwa kitabu hiki kitamjengea mwanafunzi uwezo wa kumudu somo la Kiswahili kwa ujumla.
1. Kuumba herufi,
2. Kuunda silabi na maneno,
3. Kuandika sentensi kwa mfuatano sahihi wa matukio,
4. Kuandika kwa kutumia alama za uandishi,
5. Kuandika hadithi fupi zenye kueleweka na ushikamani
No reviews , Be the first to write a review
- ISBN : 9789912755314
- Publication Date : November 2024
- Language : Swahili
- Number of Pages : 90
- Cover Format : Paperpack
- Edition : Third Edition