Kiswahili Kwa Vitendo Kitabu Cha 3
Paperpack

Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 3 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha mwanafunzi kupenda kujifunza zaidi. Kitabu hiki kina hadithi, midahalo, risala na mazoezi mengi ambavyo kwa pamoja vinampa mwanafunzi fursa ya kujifunza na kujenga umahiri katika lugha ya kiswahili. Vipengele vinavyofundishwa katika kitabu hiki ni pamoja na Kusoma, Kuandika, Sarufi, Misamiati, Matumizi ya Kamusi, Hadithi fupi, Vitendawili na Methali. Tuna uhakika kuwa kitabu hiki kitamjengea mwanafunzi uwezo na kumpa uwanja sahihi wa kujifunza somo la Kiswahili kwa vitendo

Ape Network

APE Network is a publishing company which, beyond creating resourceful books, works tirelessly to understand what it takes to inspire the reader.

This book is categorised in
Community Reviews
Book Details
  • ISBN : 9789987871421
  • Publication Date : January 2020
  • Language : Swahili
  • Number of Pages : 143
  • Cover Format : Paperpack
  • Edition : First Edition