
Kitabu hiki kinafundisha somo la Kusoma kwa kuzingatia muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha msomaji kupenda kujifunza zaidi. Kitabu kina hadithi fupi na vitendo vingi ambavyo kwa pamoja vinalenga kumpa mwanafunzi mazoezi katika mada zinazofundishwa, hususan mada ya Kusoma. Tunaamini kuwa kitabu hiki kitamjengea mwanafunzi uwezo na kumpa uwanja mpana wa kujifunza somo la Kiswahili kwa vitendo
Not Available
No reviews , Be the first to write a review
- ISBN : 9789987871377
- Publication Date : January 2020
- Language : Swahili
- Number of Pages : 112
- Cover Format : Paperpack
- Edition : Third Edition