
Jikumbushe Lugha Darala la 3 & 4
Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 700 ya masomo ya Kiswahili na Kiingereza toka katika mitihani ya Taifa ya Darasa la nne kati ya mwaka 1999 na 2012 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
Maswali haya yamechambuliwa, kusahihishwa na kuboreshwa ili kukidhi matakwa ya sasa ya mtaala pamoja na kueleza hali halisi kama ilivyo sasa na kujibiwa kwa ufasaha ili kumwelimisha mwanafunzi na kumpa maarifa zaidi katika masomo haya.
Community Reviews
No reviews , Be the first to write a review
Related Books
Book Details
- ISBN : 9789987701264
- Authors : Lucy Massawe Illuminata Msanya
- Publication Date : January 2013
- Language : English
- Number of Pages : 96
- Cover Format : Paperpack
- Edition : First Edition