Jikumbushe Lugha Darasa la 5, 6 & 7
Paperpack

Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 550 ya Kiswahili na Kiingereza toka mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba tangu mwaka 1999 hadi 2010 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.

Kitabu hiki kimeandaliwa kwa ajili ya wanafunzi wa shule za mtaala wa Kiswahili pamoja na wale wa shule za mtaala wa Kiingereza (English Medium).

Lucy Massawe

I write about kiswahili

This book is categorised in
Community Reviews
Book Details
  • ISBN : 9789987932191
  • Publication Date : October 2012
  • Language : Swahili
  • Number of Pages : 196
  • Cover Format : Paperpack
  • Edition : Second Edition