Jikumbushe Kiswahili Kidato Cha 4
Paperpack

Mkusanyiko wa maswali kutoka mitihani ya taifa toka mwaka 2005 hadi 2020 na majibu yaliyoandaliwa kwa usahihi, ustadi na ufasaha mkubwa.

Dondoo muhimu za somo la Kiswahili zitakazowasaidia wanafunzi wa kidato cha 3 na 4 katika marudio yao na katika ujibuji wa maswali ya mitihani.

Kamusi ndogo yenye misamiati muhimu ijitokezayo katika somo la Kiswahili.

Anita Masika

I write about kiswahili

This book is categorised in
Community Reviews
Book Details
  • ISBN : 9789987710256
  • Authors : Anita Masika Eliupendo W. Mbise
  • Publication Date : August 2021
  • Language : Swahili
  • Number of Pages : 263
  • Cover Format : Paperpack
  • Edition : Tenth Edition