Found 5 matching for Faraji Katalambula Viewing 1 - 5 of 5 matches Viewing 1 - 5 of 5 matches
- PILI PILIPILI
- Penzi ni pumbazo tena pumbazo kichefuchefu linaloweza kumfanya mtu afanye yasiyotarajiwa. Muhusika mkuu katika riwaya hii anadondoka katika penzi zito la binti Pili linalomea na kufa haraka mithili ya uyoga likiacha majuto na muwasho maishani mwake.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MIRATHI
- Kifo cha Masanja kinatarajiwa kuwa sherehe kwa mkewe na watu wake wa karibu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- UNONO
- Starehe za mjini zinamfanya kijana Unono asahau alikotoka. Unono anakumbatia ugeni hata kufikia hatua ya kuikana familia yake. Wazazi wanamuachia radhi na hatimaye Unono anakutana na yanayomrudisha nyumbani. Je, atapokelewa?
- Published : 2023
- Language : Swahili
- PENDO PEVU
- Matumaini ya wazazi wa kijana Vitto yanazimika ghafla mithili ya kibatari kilichopulizwa na upepo mkali. Haya yanajiri baada ya kijana wao, Vitto, kubadili uamuzi wake kuhusiana na kumuoa binti aliyechaguliwa na wazazi wake.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- SIMU YA KIFO
- Mzee Jacob anafariki ghafla akiwa nyumbani kwake. Uchunguzi unabainisha kuwa amefariki kwa kuvuta sigara yenye sumu. Siku chache baadaye, bintiye, Mary anapigwa risai.
- Published : 2023
- Language : Swahili