Found 4 matching for Hussein Tuwa Viewing 1 - 4 of 4 matches Viewing 1 - 4 of 4 matches
- MKIMBIZI
- Mwanadada Tigga Mumba anaingia kwenye msukosuko mkubwa maishani, pale anaposhuhudia mauaji ya kutisha akiwa msituni akishiriki utafiti wa mambo ya kale.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MDUNGUAJI
- Wapiganaji kumi, wakiwemo Watanzania watatu, wanaounda kikosi maalum cha jeshi la Umoja wa Mataifa kilichotumwa kulinda amani nchini Sierra Leone, wanashambuliwa na mdunguaji aliyejificha katika msitu walikokuwamo.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MTAFITI
- Habari ya kuuawa kwa mtafiti Grayson Mochiwa haikuwa na sababu ya kumshitua mrembo Zay mpaka pale anapogundua kuwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa rafiki yake kipenzi sio tu hakukuwa kwa bahati mbaya bali pia kulihusiana moja kwa moja na kifo
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MFADHILI
- MFADHILI ni riwaya inayoswawiri juu ya penzi zito baina ya watu wawili, Gaddi Bullah na Dania eobald ambalo linapitia katika misukosuko na mitihani mikubwa.
- Published : 2018
- Language : Swahili