
Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na mwongozo mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 6 wa mwaka 2020. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha msomaji kupenda kujifunza zaidi. Kitabu kina hadithi fupi, midahalo, risala na mazoezi mengi ambavyo kwa pamoja vinalenga kumpa mwanafunzi mazoezi kuhusu mada zinazoelezewa katika kitabu. Mada hizo ni pamoja na Kusoma, Kuandika, Sarufi, Msamiati, Matumizi ya Kamusi pamoja na Vitendawili, Nahau na Methali. Tunaamini kuwa kitabu hiki kitamjengea mwanafunzi uwezo na kumpa uwanja wa kujifunza somo la kiswahili kwa vitendo.
No reviews , Be the first to write a review
- ISBN : 9789987871360
- Publication Date : October 2023
- Language : Swahili
- Number of Pages : 232
- Cover Format : Paperpack
- Edition : Second Edition