
Kuandika Kwa Vitendo Darasa la 1
Kitabu hiki kinafundisha umahiri wa kuandika kulingana na muhtasari wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la I wa mwaka 2023. Kitabu kina mazoezi mengi kwa vitendo. Hivyo, hadi kufikia mwisho, mwanafunzi atakuwa mahiri na mwenye uwezo mkubwa wa kuumba herufi na kuandika kwa usahihi herufi, silabi, maneno, sentensi na habari fupi.
Community Reviews
No reviews , Be the first to write a review
Related Books
Book Details
- ISBN : C9789976583618
- Publication Date : January 2024
- Language : Swahili
- Number of Pages : 130
- Cover Format : Paperpack
- Edition : First Edition