Kuandika Kwa Vitendo Kitabu Cha Kwanza
Paperpack

Kitabu hiki kinafundisha somo la Kuandika kulingana na muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha msomaji kupenda kujifunza zaidi. Kitabu kina mazoezi mengi kwa vitendo hivyo hadi kufikia mwisho, mwanafunzi atakuwa mahiri na mwenye uwezo mkubwa wa kuumba herufi na kuandika kwa usahihi herufi, silabi, maneno, sentensi na habari fupi. Tunaamini kuwa kitabu hiki kitamjengea mwanafunzi uwezo wa kumudu somo la Kiswahili kwa ujumla.

Ape Network

APE Network is a publishing company which, beyond creating resourceful books, works tirelessly to understand what it takes to inspire the reader.

Not Available

This book is categorised in
Community Reviews
Book Details
  • ISBN : 9789987871384
  • Publication Date : March 2020
  • Language : Swahili
  • Number of Pages : 158
  • Cover Format : Paperpack
  • Edition : Third Edition