Lina Ubani
Paperpack

Rinda Musekusi anatumia madaraka yake vibaya kwa kupalilia ukabila na kutumia ofisi za umma kwa maslahi yake binafsi. Safari yake haiishii pema kwani anajikuta amedondokea katika mikono ya mahakama tayari kwa ajili ya kuhukumiwa.

Penina Muhando

Penina Muhando (Pia Penina Mlama) ni mwandishi mbobevu na mwanazuoni wa kiswahili hususani katika utanzu wa Tamthiria.

This book is categorised in
Community Reviews
Related Books
Book Details
  • ISBN : 9789912755123
  • Publication Date : January 2023
  • Language : Swahili
  • Number of Pages : 85
  • Cover Format : Paperpack