Malenga wa Bara
Paperpack

Mwanzoni mwa miaka ya 1970 palitokea mgogoro wa ushairi nchini Tanzania na kenya.

M. M. Mulokozi

Mugyabuso M. Mulokozi ni mwandishi wa siku nyingi wa riwaya za vijana, tamthilia na mashairi. Aidha, ni mwalimu na mwanazuoni aliyebobea katika taaluma ya historia na fasihi ya Kiswahili. Kazi zake nyingine ni pamoja na: Ngoma ya Mianzi, Ngome ya Mianzi, Mukwava wa Uhehe, Mashairi ya Kisasa na Malenga wa Bara

This book is categorised in
Community Reviews
Related Books
Book Details
  • ISBN : 9789976587173
  • Publication Date : January 2024
  • Language : Swahili
  • Number of Pages : 250
  • Cover Format : Paperpack