
Ni azma yetu kuu kutengeneza vitabu vinavyoweza kuchochea hamu ya kupenda kusoma na kutaka kujua zaidi.Tumejikita katika kutengeneza vitabu vinavyoweza kuleta uelimishaji rahisi na wenye manufaa kwa msomaji. ili kufanikisha haya tunazingatia kanuni za uandishi bora ambzo ni pamoja na kujisahihisha kwa muda mrefu katika lugha, mantiki, mifano na mtiririko wa mada mafanikio yetu nikuona watu wengi zaidi wakifurahia elimu na kuitumia kuboresha maisha yao na ya jamii zao. Haya ndiyo maoni ya APE Network
No reviews , Be the first to write a review
- ISBN : 9789987701315
- Publication Date : December 2017
- Language : Swahili
- Number of Pages : 284
- Cover Format : Paperpack
- Edition : First Edition