Waanzilishi wa Fasihi ya Kiswahili - Pioneers of Swahili Literature (Swahili- English)
Paperpack

Kitabu hiki kimebeba wasifu na simulizi za safari za mashujaa 25 ambao waliamua kwa makusudi kuwekeza taaluma, falsafa na rasilimali zao kutetea na kuendeleza Kiswahili tangu kilipokuwa lugha changa hadi kuwa lugha ya Kiafrika yenye mafanikio makubwa zaidi duniani na kielelezo cha ukombozi wa kiutamaduni. Kwa kupitia simulizi zao, tutaamini kuwa ... Lugha ni chombo cha thamani cha watu na cha kubeba mawazo, historia na ndoto zao. Kwamba, hata iwe dhaifu au yenye watumiaji wachache namna gani, lugha inastahili kuaminiwa, kutumika na kuachwa ikomae ili iwasilishe karama zao.

Hermes Damian S

I write about physics and mathematics

This book is categorised in
Community Reviews
Book Details
  • ISBN : 9789912752900
  • Publication Date : July 2026
  • Language : Swahili
  • Number of Pages : 194
  • Cover Format : Paperpack
  • Edition : First Edition