Dunia Hadaa
Paperpack

Lawalawa anaingia matatani baada ya kutuma barua ya mpenzi wake kwa mumewe kimakosa. Majuto na wasiwasi vinamwandama anapoisubiri hatima yake kutoka kwa mumewe. Je, Kuna matumaini ya ndoa yake changa? Fuatilia mkasa huu.

Ape Network

APE Network is a publishing company which, beyond creating resourceful books, works tirelessly to understand what it takes to inspire the reader.

This book is categorised in
Community Reviews
Related Books
Book Details
  • ISBN : 9789976587128A
  • Publication Date : January 2023
  • Language : Swahili
  • Number of Pages : 128
  • Cover Format : Paperpack