Nchi Yangu Chekechea 2
Paperpack

Kufundisha watoto huhitaji si tu maarifa, bali hasa, mbinu za uwasilishaji wa maarifa
unaoamsha shauku na kujenga hamasa. Michezo, nyimbo, shughuli za kuburudisha na
picha ni baadhi ya zana zinazotimiza lengo hili. Kupitia zana hizi, programu ya APE
Network ya elimu ya awali inahakikisha kuwa watoto wanawezeshwa kujenga misingi
ya maarifa kwa urahisi na hamasa.
Kitabu hiki kimesheheni mbinu, shughuli na mazoezi ambavyo kwa pamoja vinajenga
umahiri kwa namna inayovutia na kuhamasisha. Mbali na kukuza maarifa, shughuli
hizi zinaimarisha uwezo wao wa kutatua changamoto zilizopo katika mazingira yao.

H. D. Salla

Naandika kuhusu Nahau, Methali na Vitendawili.

This book is categorised in
Community Reviews
Book Details
  • ISBN : 9789912755734
  • Publication Date : February 2026
  • Language : Swahili
  • Number of Pages : 56
  • Cover Format : Paperpack
  • Edition : First Edition