
Hiki ni kitabu cha mwanafunzi kwa darasa la tatu. Kitabu hiki kimezingatia Muhtasari wa somo la Historia ya Tanzania na Maadili kwa shule za msingi Tanzania wa mwaka 2023. Mada za kitabu hiki ni: Historia, urithi na maadili ya Tanzania; Wajibu na haki za mtoto; Kuheshimu na kutii sheria; Maarifa na ujuzi wa asili wa jamii; Ushirikiano katika jamii; Uongozi katika familia na ukoo na Uongozi shuleni. Ndani ya kitabu hiki kuna mazoezi ya kutosha kumsaidia mwalimu au mzazi kumpima mwanafunzi; au mwanafunzi kujipima mwenyewe ili aone kama amepata maarifa na ujuzi unaokusudiwa katika mada husika.
- ISBN : 9789976 583571
- Tarehe ya kuchapishwa : January 2024
- Lugha : English
- Idadi ya kurasa : 186
- Aina ya kava : Paperpack
- Toleo : First Edition
Jamii ya kitabu hiki ni
- Masomo :
- Kiswahili
- Daraja :
- Primary Three
Hakuna maoni , Kuwa wa kwanza kuandika maoni