
Tumeandaa kitabu hiki ili kuwasaidia wanafunzi wa darasa la 3 na 4 kufanya marudio yenye tija kwa urahisi na uhakika zaid. Ingawa kitabu hiki kimeundwa kutokana na mitihan ya taifa iliyopita , kimeboreshwa na kusahihishwa ili kuhakikisha kuwa maswali hayajirudii katika mitihan tofauti na pia yanazingatia muhtasari wa sasa
Tunaamin kuwa kitabu hiki kitamsaidia mwanafunzi kufanya marudio kwa ufanis mkubwa na mwishowe kumpa ufauli mzuri zaid katika mitihan yake hususani ule wa darasa la 4
- ISBN : 9789987701280
- Tarehe ya kuchapishwa : September 2015
- Lugha : Swahili
- Idadi ya kurasa : 131
- Aina ya kava : Paperpack
- Toleo : First Edition
Jamii ya kitabu hiki ni
- Daraja :
- Primary Three
- Primary Four
Hakuna maoni , Kuwa wa kwanza kuandika maoni