
Kiwavi Mtoto
Paperback
Safari yake ilikuwa na matukio mengi, hadi pale wingu nene lilipotanda. Hofu yake ya kuloweshwa na mvua ilibadilisha maisha yake. Njoo utembee na uruke na Kiwavi Mtoto.
Taarifa za kitabu
- ISBN : 9789912752122
- Tarehe ya kuchapishwa : August 2023
- Lugha : Swahili
- Idadi ya kurasa : 27
- Aina ya kava : Paperpack
- Toleo : Second Edition
Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii
Hakuna maoni , Kuwa wa kwanza kuandika maoni
Na
Corona Cermak