Maji Mandiga
Paperback

Simulizi hii inaakisi uhalisia wa changamoto za maji wanazokutana nazo wanawake hasa wanaoishi vijijini. Iwapo kutakuwa na kufanana kwa jina au tukio la aina yoyote basi haikuwa dhamira ya mtunzi na mwandishi.

Mohammed Hammie

No description

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789912752160
  • Tarehe ya kuchapishwa : January 2023
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 157
  • Aina ya kava : Paperpack
  • Toleo : Second Edition

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii
Na Mohammed Hammie