
Mfadhili
Paperback
Changamoto wanazopitia wapenzi hawa wanapojaribu kutetea penzi
lao na visa vinavyoibuka kutokana na jitihada hizi ni chanzo cha hamasa na
msisimko utakaokufanya usiweze kuweka kitabu hiki chini. Nani anafaulu? Je
penzi linadumu ama linaporomoka? Majibu ya maswali haya yamo ndani ya
kurasa za kitabu hiki.
Maoni kutoka kwa jamii
Hakuna maoni , Kuwa wa kwanza kuandika maoni
Na
Hussein Tuwa