Moto wa Mianzi
Paperback

Mwanzoni mwa miaka ya 1970 palitokea mgogoro wa ushairi nchini Tanzania na Kenya. Makundi mawili, yaliyoitwa “wanamapokeo” na “wanausasa”, yalibishana magazetini, vitabuni na kwenye..

M. M. Mulokozi

Mugyabuso M. Mulokozi ni mwandishi wa siku nyingi wa riwaya za vijana, tamthilia na mashairi. Aidha, ni mwalimu na mwanazuoni aliyebobea katika taaluma ya historia na fasihi ya Kiswahili. Kazi zake nyingine ni pamoja na: Ngoma ya Mianzi, Ngome ya Mianzi, Mukwava wa Uhehe, Mashairi ya Kisasa na Malenga wa Bara

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789976587050
  • Tarehe ya kuchapishwa : January 2023
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 133
  • Aina ya kava : Paperpack

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii