Ngoma ya Mianzi
Paperback

Mzimu wa Watu wa Kale ni hadithi ya upelelezi ya kusisimua. Katika hadithi hii Bwana Ali apatikana katika mzimu wa watu wa kale akiwa ameuawa.

Je, nini asili ya mzimu huu wa watu wa kale? Ni nani aliyemwua Bwana Ali na kwa nini? Je, Bwana Msa na Spekta Seif watapambanua chanzo cha kuuwawa kwa Bwana Ali? Endelea kusoma kisa hiki uburudike na jicho la upelelezi la Bwana Msa, maswali ya kudadisi ya Najum na uhodari wa Spekta Seif kwa kutatua kesi hii.

M. M. Mulokozi

Mugyabuso M. Mulokozi ni mwandishi wa siku nyingi wa riwaya za vijana, tamthilia na mashairi. Aidha, ni mwalimu na mwanazuoni aliyebobea katika taaluma ya historia na fasihi ya Kiswahili. Kazi zake nyingine ni pamoja na: Ngoma ya Mianzi, Ngome ya Mianzi, Mukwava wa Uhehe, Mashairi ya Kisasa na Malenga wa Bara

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789987722075
  • Tarehe ya kuchapishwa : January 2023
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 117
  • Aina ya kava : Paperpack
  • Toleo : Second Edition

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii