Pili Pilipili
Paperback

Uvumilivu usioelezeka unagonga mwamba baada ya Marisa kutoweza kuendelea na penzi la manyanyaso la Maina. Dhihaka ya Mume ni riwaya inayoakisi maisha ya jamii iliyojaa matabaka, mila na desturi zilizopitwa na wakati, umasikini, mapenzi na usaliti.

Faraji Katalambula

No description

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789976587142
  • Tarehe ya kuchapishwa : January 2023
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 128
  • Aina ya kava : Paperpack

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii