Titi la Mkwe
Paperback

tarehe za mjini zinamfanya kijana Unono asahau alikotoka. Unono anakumbatia ugeni hata kufikia hatua ya kuikana familia yake. Wazazi wanamuachia radhi na hatimaye Unono anakutana na yanayomrudisha nyumbani. Je, atapokelewa?

Alex Banzi

No biography

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789987371136D
  • Tarehe ya kuchapishwa : January 2023
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 73
  • Aina ya kava : Paperpack

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii