Vitendawili vya Kikwetu
Paperback

Mkusanyiko wa vitendawili zaidi ya 1300 na majibu katika njia ya picha zinazomwezesha msomaji kupambanua uhusiano baina ya kitendawili na jibu lake.

H. D. Salla

Naandika kuhusu Nahau, Methali na Vitendawili.

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789987701322
  • Tarehe ya kuchapishwa : September 2015
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 132
  • Aina ya kava : Paperpack
  • Toleo : First Edition

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii