Found 309 matching results Viewing 145 - 156 of 309 matches Viewing 145 - 156 of 309 matches
- DHIFA
- Dhifa ni diwani ya mwisho ya Kezilahabi.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- MAJI HAYAFATI MKONDO
- Maji Hayafuati Mkondo ni riwaya ya kipekee iliyoandikwa na mwandishi wa kike Felista Richard Mhonge . Riwaya hii inazungumzia changamoto anazokumbana nazo mwanamke katika kufikisha ndoto za maisha yake.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- ORODHA
- Steve Reynolds alizaliwa mwaka 1960 nchini Uingereza. Amekuwa mwalimu wa Tamthiliya na Michezo ya kuigiza kwa miaka 21 na ameongoza warsha nyingi pamoja na matamasha mbalimbali katika sehemu nyingi duniani.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- WATOTO WA MAMAN’TILIE
- Katika riwaya hii ya Watoto wa Maman’tilie, mwandishi anathibitisha kuwa mama ni mtu wa muhimu sana. Riwaya inasimulia na kushadidia kuwa Maman’tilie ni nguzo na dereva wa familia yake yenye wasafiri watatu:
- Published : 2022
- Language : Swahili
- USIKU UTAKAPOKWISHA
- Mbunda Msokile alizaliwa Mbinga, Tanzania. Alipata elimu ya msingi katika shule za Wukiro na Litembo, na elimu ya sekondari katika shule za Kigonsera na Ihungo. Baada ya hapo, alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu shahada ya B.A (Ed) mwaka
- Published : 2022
- Language : Swahili
- NGUZO MAMA
- Penina Muhando (Pia Penina Mlama) ni mwandishi mbobevu na mwanazuoni wa Kiswahili hususan katika utanzu wa tamthiliya. Ameandika tamthiliya kama vile Heshima Yangu (1974), Pambo (1975), Lina Ubani (1984) na Mitumba Ndui (1989).
- Published : 2022
- Language : Swahili
- TANZIA YA PARTICE LUMUMBA
- KONGO [DRC] ilipata uhuru toka kwa Wabelgiji tarehe 30/06/1960 na Patrice Lumumba akawa Waziri Mkuu wa kwanza. Baada ya miezi sita tu, yaani tarehe 17/01/1961, Lumumba akauliwa kikatili na kinyama
- Published : 2022
- Language : Swahili
- MABALA AND THE INTERNET
- This book will make you laugh out loud at the continuing tendency of Mabala to mess things up by claiming to know what he does not know instead of allowing those who do know to take the lead.
- Published : 2021
- Language : English
- SWIMMING AGAINST THE CURRENT
- SWIMMING AGAINST THE CURRENT is an inspiring novel that addresses various challenges encountered by a woman when struggling to fulfill her dreams.
- Published : 2021
- Language : English
- ELIMU BORA YENYE MALENGO
- Kitabu hiki kinaangazia masuala ya msingi katika safari ya elimu, kikianza na hatua ya malezi ya mtoto kabla ya kwenda shule, elimu ya awali, elimu msingi na hatimaye elimu ya sekondari.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- SHUJAA MIRAMBO
- MIRAMBO - Napoleon Bonaparte wa Afrika Tamthilia hii ya kihistoria inamhusu Mirambo, Mnyamwezi na mtemi wa Urambo toka mwaka 1860 hadi 1884.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- NYERERE NA VIJIJI VYA UJAMAA
- Msingi na dafina ya tamthilia hii ni historia na lengo kuu la Mwalimu Julius Nyerere na TANU kutaka kujenga uchumi wa Ujamaa na Kujitegemea mintarafu mwongozo wa kitabu cha Azimio la Arusha, 1987.
- Published : 2021
- Language : Swahili
My Cart