Found 309 matching results Viewing 109 - 120 of 309 matches Viewing 109 - 120 of 309 matches
- DHIHAKA YA MUME
- Uvumilivu usioelezeka unagonga mwamba baada ya Marisa kutoweza kuendelea na penzi la manyanyaso la Maina. Dhihaka ya Mume ni riwaya inayoakisi maisha ya jamii iliyojaa matabaka, mila na desturi zilizopitwa na wakati, umasikini, mapenzi na usaliti.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- SARAFU YA GAVANA
- Watu wasiojulikana katika nchi ya Weusi Kusini, wanapambana vikali kumshambulia Gavana nchi hiyo, bwana Bongo kwa lengo la kummaliza.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KIFURUSHI IKULU
- Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KABRASHA LA RAIS
- Rais Kassim Mabrouk wa Tanzania anaingia kwenye mgogoro mkubwa na baadhi ya wajumbe wa chama chake, Chama Mahalia (CM). Genge la matajiri ndani ya chama linapanga mbinu chafu dhidi yake.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- UFAFANUZI LUGALO
- Mkuu wa Majeshi, Jenerali Akida Mwema, anamshauri Rais Amida Busara kutokupeleka majeshi nchini Kongo ili kufanikisha mkakati wa kijeshi kwanza. Mkuu wa Majeshi anafanya kazi kufa na kupona. Katika pilikapilika za kukamilisha mkakati huo anakumbana na ud
- Published : 2023
- Language : Swahili
- LAWALAWA
- Lawalawa anaingia matatani baada ya kutuma barua ya mpenzi wake kwa mumewe kimakosa. Majuto na wasiwasi vinamwandama anapoisubiri hatima yake kutoka kwa mumewe. Je, Kuna matumaini ya ndoa yake changa? Fuatilia mkasa huu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- PILI PILIPILI
- Penzi ni pumbazo tena pumbazo kichefuchefu linaloweza kumfanya mtu afanye yasiyotarajiwa. Muhusika mkuu katika riwaya hii anadondoka katika penzi zito la binti Pili linalomea na kufa haraka mithili ya uyoga likiacha majuto na muwasho maishani mwake.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- YALIYONIKUTA TANGA
- Yakusimuliwa hayakidhi shaulu. "Raha ya ngoma ucheze mwenyewe' Fuatilia mkasa huu wa kusisimua kwani tanga waja leo..
- Published : 2023
- Language : Swahili
- AMA ZAO AMA ZANGU
- No description
- Published : 2023
- Language : Swahili
- SOMO KANIPONZA
- No description
- Published : 2023
- Language : Swahili
- GUBU LA MUME
- Kwa mume kuna ngodo Mwanahamisi hakuna uhondo. Wala hakuna utamu kuna balagham! Ndivyo alivyoniambia somo yangu Mama Muhidini kabla sijaolewa.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- KAMLETE AKIBISHA MLIPUE!
- No Overview
- Published : 2023
- Language : Swahili
My Cart