Matching Titles
- LAWALAWA
- Lawalawa anaingia matatani baada ya kutuma barua ya mpenzi wake kwa mumewe kimakosa. Majuto na wasiwasi vinamwandama anapoisubiri hatima yake kutoka kwa mumewe. Je, Kuna matumaini ya ndoa yake changa? Fuatilia mkasa huu.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- MDUNGUAJI
- Wapiganaji kumi, wakiwemo Watanzania watatu, wanaounda kikosi maalum cha jeshi la Umoja wa Mataifa kilichotumwa kulinda amani nchini Sierra Leone, wanashambuliwa na mdunguaji aliyejificha katika msitu walikokuwamo.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- ORODHA
- Steve Reynolds alizaliwa mwaka 1960 nchini Uingereza. Amekuwa mwalimu wa Tamthiliya na Michezo ya kuigiza kwa miaka 21 na ameongoza warsha nyingi pamoja na matamasha mbalimbali katika sehemu nyingi duniani.
- Published : 2022
- Language : Swahili
- NGUZO MAMA
- Penina Muhando (Pia Penina Mlama) ni mwandishi mbobevu na mwanazuoni wa Kiswahili hususan katika utanzu wa tamthiliya. Ameandika tamthiliya kama vile Heshima Yangu (1974), Pambo (1975), Lina Ubani (1984) na Mitumba Ndui (1989).
- Published : 2022
- Language : Swahili
- LINA UBANI
- Rinda Musekusi anatumia madaraka yake vibaya kwa kupalilia ukabila na kutumia ofisi za umma kwa maslahi yake binafsi.
- Published : 2023
- Language : Swahili