Vimepatikana 1 vinavyofanana na Muhammed Self Khatibu Unaangalia 1 - 1 kati ya 1 Unaangalia 1 - 1 kati ya 1
- FUNGATE YA UHURU
- Fungate ya Uhuru ni diwani ya mashairi yanayofichua madhila wafanyiwayo wanyonge na baadhi ya wakubwa, hasa viongozi wanyonyao jasho la wananchi na kujineemesha migongoni mwa wakulima na wafanyakazi.
- Kimechapishwa : 2019
- Lugha : Swahili
Manunuzi yangu