
Tamthiliya hii inahusu madhila yanayowapata watoto wa kike wanapoingia
katika mahusiano kwa miguu miwili na kufanya maamuzi ya hatari kwa shinikizo
la wanaodai kuwapenda. Matokeo yanapokuwa ni ujauzito, basi mbivu huonekana
mbichi na mbichi kuwa mbivu! Hapo hatia ya kitendo kile cha wawili hubaki kwa
mmoja na uzito wa jambo lile humwangukia binti. Kunapokucha anakuja
kutambua kuwa maisha yake yameharibika, heshima yake imepotea na kazi ya
kulea ni ya kwake tena akiwa katika jamii ambayo inamtazama kama mkosaji.
This book is categorised in
No reviews , Be the first to write a review
- ISBN : 9789912755147
- Publication Date : May 2025
- Language : Swahili
- Number of Pages : 60
- Cover Format : Paperpack
- Edition : First Edition