Hatia
Paperback

Tamthiliya hii inahusu madhila yanayowapata watoto wa kike wanapoingia
katika mahusiano kwa miguu miwili na kufanya maamuzi ya hatari kwa shinikizo
la wanaodai kuwapenda. Matokeo yanapokuwa ni ujauzito, basi mbivu huonekana
mbichi na mbichi kuwa mbivu! Hapo hatia ya kitendo kile cha wawili hubaki kwa
mmoja na uzito wa jambo lile humwangukia binti. Kunapokucha anakuja
kutambua kuwa maisha yake yameharibika, heshima yake imepotea na kazi ya
kulea ni ya kwake tena akiwa katika jamii ambayo inamtazama kama mkosaji.

Penina Muhando

Penina Muhando (Pia Penina Mlama) ni mwandishi mbobevu na mwanazuoni wa kiswahili hususani katika utanzu wa Tamthiria.

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789912755147
  • Tarehe ya kuchapishwa : May 2025
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 60
  • Aina ya kava : Paperpack
  • Toleo : First Edition

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii