
Jikumbushe Uchambuzi Sekondari
Paperpack
Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali ya Fasihi kutoka mitihani ya taifa toka mwaka 1995 hadi mwaka 2012 na majibu yaliyoandikwa kwa usahihi, ustadi na ufasaha mkubwa.
Dondoo muhimu za somo la Kiswahili hususan kipengele cha Fasihi zitakazowasaidia wanafunzi wa kidato cha 3 na cha 4 katika marudio yao na katika ujibuji wa maswali ya mitihani.
This book is categorised in
Community Reviews
No reviews , Be the first to write a review
Related Books
Book Details
- ISBN : 9789987701043
- Authors : Eliupendo W. Mbise Ayoub John
- Publication Date : September 2013
- Language : Swahili
- Number of Pages : 189
- Cover Format : Paperpack