
Jikumbushe Uchambuzi Sekondari
Paperback
Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali ya Fasihi kutoka mitihani ya taifa toka mwaka 1995 hadi mwaka 2012 na majibu yaliyoandikwa kwa usahihi, ustadi na ufasaha mkubwa.
Dondoo muhimu za somo la Kiswahili hususan kipengele cha Fasihi zitakazowasaidia wanafunzi wa kidato cha 3 na cha 4 katika marudio yao na katika ujibuji wa maswali ya mitihani.
Taarifa za kitabu
- ISBN : 9789987701043
- Waandishi : Eliupendo W. Mbise Ayoub John
- Tarehe ya kuchapishwa : September 2013
- Lugha : Swahili
- Idadi ya kurasa : 189
- Aina ya kava : Paperpack
Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii
Hakuna maoni , Kuwa wa kwanza kuandika maoni
Na
Eliupendo W. Mbise