Found 50 books in
General - Swahili
Viewing 13 - 24 of 50
matches
Viewing 13 - 24 of 50
matches
- FUNGATE YA UHURU
- Fungate ya Uhuru ni diwani ya mashairi yanayofichua madhila wafanyiwayo wanyonge na baadhi ya wakubwa, hasa viongozi wanyonyao jasho la wananchi na kujineemesha migongoni mwa wakulima na wafanyakazi.
- Published : 2019
- Language : Swahili
- MTUMWA HADI SITI BINTI SAAD
- Historia ya maisha ya Siti Binti Saad kama yalivyosawiriwa na Shaaban Robert na Nasra Mohamed Hilal, na sasa, katika tamthiliya hii ya kihistoria, itamfunulia msomaji wasifu na safari ya maisha ya mwanamama huyu.
- Published : 2019
- Language : Swahili
- MORANI
- Tamthiliya ya Morani inasawiri misukosuko ya kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania katika miaka ya 80.
- Published : 2019
- Language : Swahili
- SADAKA YA JOHN OKELLO NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
- Sadaka ya John Okello ni tamthilia ya kihistoria kuhusu mapinduzi ya tarehe 12/1/1964 visiwani Zanzibar.
- Published : 2019
- Language : Swahili
- WANGARI MAATHAI
- Mwaka 2004 Profesa Wangari Maathai, kiongozi wa chama cha kuhifadhi mazingira (Green Belt Movement) nchini Kenya, alitunukiwa tuzo ya Amani ya Nobel........
- Published : 2019
- Language : Swahili
- THE SCHOOL TRIP TO ZANZIBAR
- The pupils of one village school at Mji Mwema are determined to visit Zanzibar and see for themselves what they always hear people say about this island in the Indian Ocean off the coast of Tanzania.
- Published : 2020
- Language : English
- FUMO LIONGO
- Fumo Liongo alikuwa shujaa wa mji wa Pate katika Pwani ya Afrika ya Mashariki aliyeishi kati ya karne ya 9 na ya 13
- Published : 2020
- Language : Swahili
- KUWA KIJANA (TO BECOME A YOUNG MAN)
- Kitabu hiki kinaelezea kuhusu wavulana wa Tanzania
- Published : 2020
- Language : English
- NYERERE NA VIJIJI VYA UJAMAA
- Msingi na dafina ya tamthilia hii ni historia na lengo kuu la Mwalimu Julius Nyerere na TANU kutaka kujenga uchumi wa Ujamaa na Kujitegemea mintarafu mwongozo wa kitabu cha Azimio la Arusha, 1987.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- SHUJAA MIRAMBO
- MIRAMBO - Napoleon Bonaparte wa Afrika Tamthilia hii ya kihistoria inamhusu Mirambo, Mnyamwezi na mtemi wa Urambo toka mwaka 1860 hadi 1884.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- ELIMU BORA YENYE MALENGO
- Kitabu hiki kinaangazia masuala ya msingi katika safari ya elimu, kikianza na hatua ya malezi ya mtoto kabla ya kwenda shule, elimu ya awali, elimu msingi na hatimaye elimu ya sekondari.
- Published : 2021
- Language : Swahili
- WATOTO WA MAMAN’TILIE
- Katika riwaya hii ya Watoto wa Maman’tilie, mwandishi anathibitisha kuwa mama ni mtu wa muhimu sana. Riwaya inasimulia na kushadidia kuwa Maman’tilie ni nguzo na dereva wa familia yake yenye wasafiri watatu:
- Published : 2022
- Language : Swahili