Found 20 books in
Shule za msingi
Viewing 13 - 20 of 20
matches
Viewing 13 - 20 of 20
matches
- KISWAHILI KWA VITENDO DALASA LA 6
- Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na mwongozo mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 6 wa mwaka 2020. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha msomaji kupenda kujifunza zaidi.
- Published : 2023
- Language : Swahili
- HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI
- Hiki ni kitabu cha mwanafunzi kwa darasa la tatu. Kitabu hiki kimezingatia Muhtasari wa somo la Historia ya Tanzania na Maadili kwa shule za msingi Tanzania wa mwaka 2023.
- Published : 2024
- Language : English
- KICHOMI
- Kichomi ni diwani inayoakisi mawazo anuwai kutoka kwenye nyanja tofauti za maisha, kama vile uchumi, siasa, utamaduni, ndoa na dini; hususan katika sehemu ya kwanza ya diwani aliyoiita Mashairi ya Mwanzo.
- Published : 2024
- Language : Swahili
- ENGLISH LANGUAGE WITH ACTIVITIES STANDARD 6
- The content of this book systematically and comprehensively teaches English language in conformity with the Standard 6 English syllabus of 2016.
- Published : 2020
- Language : English
- ENGLISH LANGUAGE WITH ACTIVITIES FOR STANDARD 7
- This book covers the requirements of the current Tanzanian Primary School syllabus for English Standard 7.
- Published : 2020
- Language : English
- JIKUMBUSHE HISTORIA & URAIA
- Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 700 ya Historia na Uraia toka katika mitihani ya Taifa ya Darasa la Nne kuanzia mwaka 1999 hadi 2012 pamoja na majibu yake yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.
- Published : 2013
- Language : Swahili
- HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI KWA VITENDO DARASA LA 4
- Umahiri katika Historia ya Tanzania na Maadili ni kitabu kilichoandaliwa kwa kuzingatia maudhui ya Muhtasari wa 2023 wa somo la Historia ya Tanzania na Maadili kwa Kidato cha Kwanza.
- Published : 2024
- Language : Swahili
- JIKUMBUSHE JIOGRAFIA NA SAYANSI 3 & 4
- Mkusanyiko wa maswali ya kutoka mitihani ya darasa la 4 kuanzia mwaka 1999 mpaka 2012 , pamoja na majibu yenye kuonyesha maelekezo kikamilifu
- Published : 2015
- Language : Swahili