 
                                            
                        
                            Jikumbushe Historia & Uraia
                        
                        
                        
                        
                        
                        
                        
                    Kitabu hiki kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 700 ya Historia na Uraia toka katika mitihani ya Taifa ya Darasa la Nne kuanzia mwaka 1999 hadi 2012 yaliyochambuliwa, kusahihishwa na kuboreshwa ili kukidhi matakwa ya sasa ya mtaala pamoja na kueleza hali halisi kama ilivyo sasa. Maswali haya yamejibiwa kwa ufasaha ili kumuelimisha mwanafunzi na kumpa maarifa zaidi katika masomo haya.
                            
                                Community Reviews
                            
                            
                            
                                                            No reviews , Be the first to write a review
                                  Related Books
                                
                                        
                                        
                                    
                            
                                Book Details
                            
                            
                            - ISBN : 97899877012xx
- Publication Date : January 2013
- Language : Swahili
- Number of Pages : 102
- Cover Format : Paperpack
- Edition : First Edition
 
  My Cart
                                My Cart