
Profesa Emmanuel Mbogo ni Mwandishi wa tamthilia, riwaya na hadithi fupi. Baadhi ya
vitabu vyake ni pamoja na: Giza Limeingia, Tone la Mwisho, Watoto Wetu, Morani, Ngoma
ya Ng’wanamalundi, Sundiata, Ndoto za Josef, Vipuli vya Figo, Fumo Liongo, Watoto wa
Mamantilie, Bustani ya Edeni, Dawa Dhidi ya Magonjwa Yote, Mizungu ya Manabii, Siri
za Maisha, Sadaka ya John Okello, Wachawi wa Bongo, Wangari Maathai, Nyota ya Tom
Mboya, Malkia Bibi Titi Mohamed na Mondlane & Samora.
No reviews , Be the first to write a review
- ISBN : 9789987871155
- Publication Date : February 2019
- Language : Swahili
- Number of Pages : 70
- Cover Format : Paperpack
- Edition : Third Edition