
Harakati za Ukombozi
Paperback
Tamthiliya hii inaangazia changamoto za nchi nyingi za Afrika miaka
michache baada ya kupata uhuru. Ingawa mkoloni alifahamika
bayana kama adui aliyewanyima maendeleo na kudumisha uonevu,
miaka michache tu ya utawala huru, sumu ya kiti cha utawala
inawaponza viongozi wao na kuwafanya nao kuwa kama watesi wa
mwanzo. Jamii inataka ukombozi wa pili japo ni ukombozi mgumu
kuupata kutokana na kuzongwa na maslahi binafsi ya viongozi wao.
Taarifa za kitabu
- ISBN : 9789912 755178
- Tarehe ya kuchapishwa : May 2025
- Lugha : Swahili
- Idadi ya kurasa : 40
- Aina ya kava : Paperpack
- Toleo : First Edition
Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii
Hakuna maoni , Kuwa wa kwanza kuandika maoni
Na
Penina Muhando