
Hidaya ya Penina Muhando ni mkusanyiko wa kazi
mujarabu za mwandishi hodari wa tamthiliya, Profesa
Penina Oniviel Muhando (Pia, Penina Mlama), ambaye,
kwa mchango wake adhimu katika lugha ya Kiswahili,
hususan utanzu wa tamthiliya, anastahili kutambuliwa
kama Mama wa Tamthiliya ya Kiswahili.
Mbali ya kuwa tunu zenye kubeba masimulizi ya
historia, kra, desturi na mapito ya jamii, kazi hizi
zimetoa mchango mkubwa katika kukuza matumizi na
umaarufu wa lugha ya Kiswahili duniani.
- ISBN : 9789912752412
- Tarehe ya kuchapishwa : May 2025
- Lugha : Swahili
- Idadi ya kurasa : 226
- Aina ya kava : Paperpack
- Toleo : First Edition
Jamii ya kitabu hiki ni
Hakuna maoni , Kuwa wa kwanza kuandika maoni