Jikumbushe Kiswahili Kidato Cha 2
Paperback

Kina mkusanyiko wa maswali zaidi ya 570 toka mitihani ya taifa ya kidato cha pili toka mwaka 2005 hadi 2020 na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa. Kamusi ya maneno muhimu yanayojitokeza katika somo la kiswahili kidato cha kwanza na cha pili.

Anita Masika

I write about kiswahili

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789987701032
  • Waandishi : Anita Masika Eliupendo W. Mbise
  • Tarehe ya kuchapishwa : August 2021
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 180
  • Aina ya kava : Paperpack
  • Toleo : Sixth Edition

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii