Mkono wa Jamhuri
Paperback

Mtemi Mkwawa anamtuma Mwagito kwenda Unyanyembe kuwakomboa watumwa walichukuliwa kutoka kalenga. Chambila, Mshauri wa Usalama wa Mtemi Mkwava, hapendezwi na matokeo. Mwagito anawekwa pembeni. Baada ya uhuru, Chambila, Mkuu wa Usalama wa Raisi Mkwava, akumbana na dhahama kubwa kutoka kwa mawakala wa nchi tatu yanapamba moto. Chambila anaona hatari. Anamkumbuka Mwagito.

Wilbard Makene

No Biography

Taarifa za kitabu
  • ISBN : 9789976583953
  • Tarehe ya kuchapishwa : October 2023
  • Lugha : Swahili
  • Idadi ya kurasa : 268
  • Aina ya kava : Paperpack
  • Toleo : First Edition

Jamii ya kitabu hiki ni
Maoni kutoka kwa jamii